Video ya sekunde 80 ikionyesha tukio la Papa Wemba kuanguka jukwaani akitumbuiza na kufariki Unknown 23:57:00 Unknown Lilikua ni tamasha ambalo linaonekana live kwenye TV ambapo mkongwe huyu wa muziki kutoka Congo DRC alikua akitumbuiza na band yake huko Abidjan Ivory Coast lakini ghafla akaanguka na kufariki muda mfupi baadae.cheki video ya tukio nzima hapa chini Author : Unknown Share this Related Posts