June 24 2016 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
‘TAMISEMI’ imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na
kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali, Kwa
urahisi zaidi unaweza kuyaona majina yote kwenye hii link
hapa
Share this