Diamond Platnumzyupo Los Angels CaliforniaMarekani tayari kwa ajili ya tuzo za BET 2016, Diamond
ambaye yupo nominated katika kipengele cha msanii bora wa kiume kutokea
Afrika, alfajiri ya June 25 2016 amehojiwa na kipindi cha 106&Park kinachorushwa na BET.