Mtoto wa bongo fleva super staa Diamond platnumz ‘Tiffah’ ambaye kwa sasa anatajwa kuwa mtoto wa staa ambaye naye ni super staa anatarajia kufanyiwa bonge la pati kweney siku yake ya kuzaliwa.
Mtoto huyu wa Diamond na Zari the Bosslady,ana followers zaidi ya laki sita instagram.
Tiffah alizaliwa August 6, 2015 na Diamond ameanda birthday party kubwa ya mwanae huyo na ametangaza kuwa itafanyika Mlimani City.
Hii ndio post ya Diamond Instagram“Happy 10th Months my little Angel… can’t wait for your first year’s Birthday!!!!! Pale mlimani City patakuwa kama Disney Land!!!! @princess_tiffah,”
Naye Zari aliandika hivi “Yesterday you were mummy’s tiny baby and today you are mummy’s big girl. Happy 10 my beautiful princess the apple of my eye, the air I breathe. Plse don’t grow so fast, mummy will miss you being her baby.”
Pia socilist wa Kenya Huddah anatarajiwa kuwepo kwenye pati hii naye aliandika
“Our baby @princess_tiffah Turning ONE soon…. The ROYAL DUTCHESS of TZEE . Hii Sio party ya kikosa Jamani . There will be a BIG SURPRISE that day! Asiye na wake aeleke jiwe….Mimi I’ll be there na mawe zangu khaa! Mama Tiffa @zarithebosslady give us LOCATION Basi …. We need to book tickets EARLY”