Legend wa muziki wa dansi Afrika Papa Wemba daima hawezi kusahaulika, licha ya kuwa tayari alishatangulia mbele za haki, Diamond Platnumzni moja kati ya wasanii waliopata bahati ya kufanya wimbo na Papa Wembamiezi michache kabla ya kufariki, wimbo wao umetoka leo Papa Wemba ft Diamond ‘Chacun Pour Soi’