Hii ni Taarifa kutokea Tengamano Tanga
ambapo imedaiwa mti aina ya muembe umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere
upande wa kwanza na Mama Maria Nyerere upande mwingine. Tukio hilo
limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016, Sikiliza AUDIO ya shahidi kutoka eneo la tukio