Usiku wa February 16 kuamkia February 17 jamaa ambaye jina lake lilizidi kukua baada ya ushindi wa shindano la
Big Brother Idris Sultan,
aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha Instagram yenye watoto
mapacha, lakini aliambatanisha picha hiyo na maneno ambayo yanaonesha
huzuni ya kupoteza watoto mapacha.
Idris aliandika
ujumbe unaosomeka kwa lugha ya kiingereza, lakini tafsiri yake ni kuwa
alikuwa anatarajia kupata watoto mapacha ila ujauzito umeharibika wa
muhusika aliyetarajia kuzaa nae.
Share this