February 20, 2016 ilichezwa hii mechi yaYanga vs Simbauwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga
walichukua ushindi wa 2-0, ikiwa ni mara ya 31 Yanga kuishinda Simba
ikiwa hii ni mechi yao ya 81 toka waanze kukutana uwanjani.