Staa wa Bongo fleva Ommy Dimpoz alionyesha kukwazika baada ya kusikia amechanwa kwenye moja ya mstari wa wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako, hali hiyo ikampelekea kuandika ujumbe kupitia account yake ya Instagram, lakini hapa kuna mengine hakuyafunguka.