Diamond Platnumzalikaa kwenye Exclusive na OnAIRwithMillardAyo nakuweka wazi kwamba atasafiri hivi karibuni kuelekea Marekani kukamilisha video ya wimbo wake na Neyo, pia kukutana na producer maarufuSwizz Beatz na mkewe ambaye ni mwimbaji Alicia Keys,yote pia kuhusu RickMavoko ameyasema hapa kwenye hii video.