Moja ya stori kubwa zilizokamata kwenye
mitandao ya kijamii Feb 17 2016 ilikuwa ni post ya mrembo wa bongo Wema
Sepetu ambaye aliandika maelezo kuhusu kuharibika kwa ujauzito
wake, Full stori nimekuwekea pia kwenye hii sauti hapa chini ikiwa ni
kipisi cha interview niliyowahi kufanya na Idris Sultan kuhusu Ujauzito
wa Wema. sikiliza audio hapo chini