VIDEO: Mahojiano ya Television ya CCTV Africa na mwimbaji Alikiba

Zaidi ya siku saba zilizopita mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alituonyesha kwa mara ya kwanza single yake mpya ya Lupela’ ambayo ameihusisha na ubalozi wake wa kutetea Uhai wa Tembo ambao wamekua wakiuwawa sana kwenye bara la Afrika.
Ni party ambayo ilifanyika kwenye hoteli pembeni mwa bahari ya hindi Dar es salaam na ilikua na Waandishi wa habari kutoka pia vyombo vya habari vya kimataifa ndio maana habari hii imefika mpaka CCTV Africa, itazame hii video hapa chini Alikiba akihojiwa.
UNATAKA KUONA PARTY YA ALIKIBA ALIVYOITAMBULISHA LUPELA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

Disqus Shortname

Comments system