Diamond Afungukia Juu ya Video Yake Ya ‘Make Me Sing’ Kufanana na ya Lil Wayne

‘’Watu wanashindwa kuelewa kila kitu ambacho kinafanyika katika muziki sasa hivi kwenye videos kwenye kuimba na kila kitu,mashairi vilishafanyika,vilishaimbwa,kushutiwa kama vinafanyika ni marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye kwa sababu ukisema nakupenda watu washaimba sana,lakini unafanyaje kwa namna yako wewe ili ilete utamu’’.
”Ukiangalia video ile niya mapenzi scrip yake mwanzo inaonyesha watu hawana hela wanaenda kuiba benki,wameenda kutumia na wanawake,bata halafu mwisho wa siku wakakamatwa,lakini pia inaelimisha tusikubali kushikwa na tamaa halafu wanawake watupelekeshe na kufanya vitu visivyofaa’’

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

Disqus Shortname

Comments system