Moja kati ya stori kubwa za leo ni hii ya mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi kwa upande wa Mwanza Michael Jamsoni kutaka kunyang’wanywa kamera na Waziri wa zamani Mheshimiwa Stephen Wassira, ripota wa millardayo.com amempata Michael Jamsoni na sentensi zake.
‘Yeye alikuwa kwenye
haraKati za kunyang’anya kamera na kudelete picha katika harakati za
kunirukia na kunikimbiza watu wakatafsiri kama tunapigana au anataka
kunipiga lakini naamini kama ningesimama bila kumkwepwa yawezekana
tungevaana maungoni;-Michael Jamsoni
‘Hasa
aliniuliza kwanini unapiga picha unapeleka mtandao gani? nikamwambia
mimi siko mtandao wowote niko Gazeti la Mwananchi na hapa nipo kazini,
basi akaniambia futa picha zangu;- Unaweza kuipata full stori kwa kuisikiliza hapa chini…