Video: Nchini Kenya tv imenasa kichwani mwa mwizi baada ya mwenye mali kwenda kwa mganga kutafuta tiba

Muizi huko Busia nchini Kenya ilimlazimu ajitokeze hadharani baada ya kuiba runinga nakukumbwa na msala wa runinga hiyo kung'ang'ania kichwani mwake.

Mwenye mali baada ya kuibiwa runinga hiyo aliamua kwenda kwa mganga wa kienyeji ambaye alifanya kazi yake na ndipo runinga hiyo ilipo ng'ang'ania kwenye kichwa chake ambapo mmiliki alikuwa ni wa nchi ya Uganda huku muizi akiwa ni wa

Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz - Bado

Download Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz - Bado

Video: Samatta afunga bao la kwanza Ubelgiji




Mshambuliaji nyota wa Tanzania Mbwana Ally Samatta amefungua akaunti yake ya mabao Ulaya baada ya kuifungia klabu yake mpya ya KRC Genk bao dhidi ya Club Brugge.

Samatta alifunga bao lake dakika ya 81 na kusaidia klabu hiyo kupata ushindi wa 3-2 baada ya kuingia uwanjani kama nguvu mpya dakika ya 77. Klabu yake ilikuwa ikiongoza 2-1 wakati huo.

Club Brugge baadaye waliongeza la pili kupitia mchezaji Vanaken dakika ya 83 lakini hawakufanikiwa kufuta uongozi wa Genk, mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Ubelgiji iliyochezewa uwanja wa nyumbani wa KRC Genk wa Cristal Arena, Jumapili.

Samatta hata hivyo kando na kufunga bao pia alipata kadi ya njano dakika ya 92. Genk kwa sasa wamo nambari tano ligini wakiwa na alama 45. Club Brugge wanaongoza wakiwa na alama 58.

"Nilikuwa nafikiria kuhusu bao langu la kwanza. Ni vyema kwangu kuanza vyema na timu mpya. Nina furaha sana,” alisema Samatta baada ya mechi hiyo. "Tumepata ushindi tuliokuwa tukitafuta na ilikuwa muhimu sana.” Samatta alichezea KRC Genk mechi yake ya kwanza tarehe 6 Februari dhidi ya Moeskroen Peruwelz, akiingia dakika ya 71. Genk walishinda mechi hiyo 1-0.

barani Ulaya: Manchester City yainyuka Dynamo Kiev 3-1

Bofya hapo chini kuangalia Video ya Goli alofunga Samatta












    

Video: Stan Bakora - Sizonje

Wakati mashabiki wa muziki pamoja na wadau mbalimbali wakisubiria ujio wa video mpya ya wimbo Sizonje kutoka kwa Mrisho Mpoto, Mchekeshaji Stan Bakora aachia version yake ya video ya wimbo huo.

Hii hapa ni orodha ya washindi wa Tuzo za Oscars 2016

Hii hapa ni orodha ya washindi wa makala ya 88 ya Tuzo za Oscars waliotangazwa katika hafla kuu jijini Los Angeles.


Filamu bora zaidi

Mshindi: Spotlight
The Big Short
Bridge of Spies
Brooklyn
Mad Max: Fury Road
The Martian
The Revenant
Room

Mwigizaji bora wa kiume

Mshindi: Leonardo DiCaprio - The Revenant
Bryan Cranston - Trumbo
Matt Damon - The Martian
Michael Fassbender - Steve Jobs
Eddie Redmayne - The Danish Girl

Mwigizaji bora wa kike

Mshindi: Brie Larson - Room
Cate Blanchett - Carol
Jennifer Lawrence - Joy
Charlotte Rampling - 45 Years
Saoirse Ronan - Brooklyn

Mwigizaji bora msaidizi wa kiume

Mshindi: Mark Rylance - Bridge of Spies
Christian Bale - The Big Short
Tom Hardy - The Revenant
Mark Ruffalo - Spotlight
Sylvester Stallone - Creed

Mwigizaji bora msaidizi wa kike

Mshindi: Alicia Vikander - The Danish Girl
Jennifer Jason Leigh - The Hateful Eight
Rooney Mara - Carol
Rachel McAdams - Spotlight
Kate Winslet - Steve Jobs

Mwelekezi bora

Mshindi: Alejandro G Inarritu - The Revenant
Lenny Abrahamson - Room
Tom McCarthy - Spotlight
Adam McKay - The Big Short
George Miller - Mad Max: Fury Road

Filamu bora ya kutokana na kitabu

Mshindi: The Big Short (Adam McKay and Charles Randolph)
Brooklyn
Carol
The Martian
Room

Filamu bora ya hadithi asili

Mshindi: Spotlight (Tom McCarthy na Josh Singer)
Bridge of Spies
Ex Machina
Inside Out
Straight Outta Compton

Filamu bora ya katuni hai

Mshindi: Inside Out
Anomalisa
Boy and the World
Shaun the Sheep Movie
When Marnie Was There

Filamu bora ya lugha ya kigeni

Mshindi: Son of Saul - Hungary
Embrace of the Serpent - Colombia
Mustang - France
Theeb - Jordan
A War - Denmark

Filamu bora fupi ya katuni hai

Mshindi: Bear Story (Gabriel Osorio na Pato Escala)
Prologue
Sanjay's Super Team
We Can't Live without Cosmos
World of Tomorrow

Filamu bora ya sinema

Mshindi: The Revenant (Emmanuel Lubezki)
Carol
The Hateful Eight
Mad Max: Fury Road
Sicario

Filamu yenye mavazi bora

Mshindi: Mad Max: Fury Road (Jenny Beavan)
Carol
Cinderella
The Danish Girl
The Revenant

Filamu bora ya makala

Mshindi: Amy
Cartel Land
The Look of Silence
What Happened, Miss Simone?
Winter on Fire: Ukraine's Fight for Freedom

Filamu bora ya makala fupi

Mshindi: A Girl in the River: The Price of Forgiveness
Body Team 12
Chau, Beyond the Lines
Claude Lanzmann: Spectres of the Shoah
Last Day of Freedom

Filamu iliyohaririwa vyema zaidi

Mshindi: Mad Max: Fury Road (Margaret Sixel)
The Big Short
The Revenant
Spotlight
Star Wars: The Force Awakens

Filamu bora zaidi ya kuigizwa moja kwa moja

Mshindi: Stutterer
Ave Maria
Day One
Everything Will Be Okay (Alles Wird Gut)
Shok
Filamu ambayo waigizaji wamepambwa vyema zaidi
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Lesley Vanderwalt, Elka Wardega and Damian Martin)
The 100-Year-Old Man Who Climbed Out the Window and Disappeared
The Revenant

Filamu yenye midundo bora asili

Mshindi: The Hateful Eight
Bridge of Spies
Carol
Sicario
Star Wars: The Force Awakens
Filamu yenye wimbo bora asilia
Earned It, The Weeknd - Fifty Shades of Grey
Manta Ray, J Ralph & Antony - Racing Extinction
Simple Song #3, Sumi Jo - Youth
Til It Happens To You, Lady Gaga - The Hunting Ground
Writing's On the Wall, Sam Smith - Spectre

Filamu yenye maandalizi bora

Mshindi: Mad Max: Fury Road (Colin Gibson and Lisa Thompson)
Bridge of Spies
The Danish Girl
The Martian
The Revenant

Filamu iliyohaririwa sauti vyema

Mshindi: Mad Max: Fury Road (Mark Mangini and David White)
The Martian
The Revenant
Sicario
Star Wars: The Force Awakens

Filamu iliyochanganywa sauti vyema

Mshindi: Mad Max: Fury Road (Chris Jenkins, Gregg Rudloff and Ben Osmo)
Bridge of Spies
The Martian
The Revenant
Star Wars: The Force Awakens

Filamu yenye picha zilizobuniwa vyema

Mshindi: Ex Machina (Andrew Whitehurst, Paul Norris, Mark Ardington na Sara Bennett)
Mad Max: Fury Road
The Martian
The Revenant
Star Wars: The Force Awakens

ANGALIA VIDEO SAMATTA ALIVYOPONGEZWA NA WENZAKE BAADA YA KUGUNGA GOLI LA USHINDI. WAMUIMBIA MA SONG YA KITAA NDANI YA VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO



BREAK NEW:Harmonize ameachia wimbo wake mpya akimshirikisha Diamond Platnumz - Bado





Kutoka Wasafi Classic Studios pata wimbo mpya kutoka kwa Harmonize akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo mpya BADO!

Bofya ku download Harmonize Ft Diamond Platnumz - Bado.

Nafasi za Kazi (TANESCO), Application Deadline 10th March, 2016

TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED
EMPLOYMENT OPPORTUNITY
INTERNAL AND EXTERNAL ADVERTISEMENT
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanian people. Next to its current passion as a leading provider of electricity, is to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites applicants who are self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill top management positions in the Company. Women are encouraged to apply.

Specific attributes for the Position to be filled:

The required candidate must:


Demonstrate impeccable performance track record;
Demonstrate highest degree of integrity;
Possess good communication and interpersonal skills;
Possess leadership, project management, problem solving, negotiation, research and analytical skills.
Be capable of delivering excellent results while working under pressure with tight deadlines;
Possess knowledge and competency in Information and Communication Technology (ICT) application.



POSITION: CHIEF LEGAL COUNSEL & COMPANY SECRETARY

REPORTING TO: Managing Director
Division: Company Secretariat


JOB PURPOSE

Responsible for the efficient administration of the company particularly with regard to compliance with statutory and regulatory requirements and ensuring that decisions of the Board of Directors are implemented.

Principal Accountabilities


Perform a strategic role to the executive management and the board as a secretary to all meetings and ensure proper and accurate records of the proceedings are kept.\
Manage and supervise the secretariat function to ensure that it contributes to the strategic effectiveness and operational efficiency of the organization and that it achieves its objectives as planned.
Manage the secretariat functions (litigation, contracts, legal and regulatory compliance) and processes.
Monitor changes in relevant legislations and the regulatory environment, and take appropriate actions to communicate and adopt them in TANESCO to ensure compliance.
Promote proactive and constructive management of secretariat business unit by developing appropriate strategic objectives for secretarial, contract and legal sections for the purpose of supporting all business units of the Company.
Assist in execution of contracts on behalf of the Company by contributing effectively in the business processes redesign and policies review.
Custodian of the Company Seal and Legal documents.
Manage, develop and ensure proper utilization of resources (human capital, financial and other Company assets) within the department in order to support Corporate Business sustainability.


Minimum Education and Experience


Bachelor Degree in Law (LLB)
Master’s Degree in Law/Business Administration
Advocate of the High Court of Tanzania.
8 years working experience (3 years in Senior Managerial Position)


========






POSITION: SENIOR MANAGER PROCUREMENT

Reporting to: Managing Director
Division: Procurement

JOB PURPOSE

Lead and manage the implementation of the approved Company’s procurement and disposal plans.

Principal Accountabilities


Prepare and manage the annual procurement plan of the Company taking into account the needs and resources.
Manage and facilitate the entire procurement process as well as and disposal by tender activities of the Company.
Act as a secretary to the Tender Board, and ensure proper functioning of the Tender Board and coordinate the implementation of its decisions.
Keep records on all procurement and disposal by tender processes including maintaining a register of all contracts awarded.
Manage key supplier relationship to deliver performance in cost saving and quality including technical input for negotiation on strategically significant contracts.
Manage and maintain good business relationship with Service providers, contractors and other procurement stakeholders within procurement legal frame work of the country to ensure optimal performance including provision of technical inputs to negotiation in strategic contracts.
Ensure compliance with the Public Procurement Act and its regulations.
Advice the Management on all issues related to procurement and disposal by tender activities of the company in compliance with the requirements prescribed under the Public Procurement Act and its regulations including any guidelines issued by PPRA from time to time.


Minimum Education and Experience


Bachelor’s Degree in Procurement/ Commerce /Finance / Engineering
Master’s Degree in related field
Holder of a recognized professional certification by PSPTB
8 years of working experience (3 years in a senior position)


Employment Terms

Contract of three (3) years – renewable based on performance.

Attractive remuneration package will be offered to the successful candidate.

Mode of Application

Applicants should submit a detailed application letter, clearly stating why you should be considered for the position, and how you will add value, a detailed curriculum vitae, and copies of certificates you wish to use in supporting your applications, three referees and two (2) passport size photographs to the address shown below. Deadline for receiving applications is 10th March, 2016

Applicants must clearly show their complete address including mobile telephone numbers and email addresses. Only shortlisted candidates will be contacted.


MANAGING DIRECTOR
TANESCO LTD UMEME PARK
UBUNGO P. O BOX 9024
DAR ES SALAAM

Source: The Guardian 26th February, 2016

Download Music: Dogo Janja - My Life

Sikiliza wimbo wa kwanza wa Dogo Janja baada ya kurudi kundini TipTop #MYLIFE
BOFYA HAPA KUUDOWNLOAD

BREAK NEWS hatimae Nay Wamitego ameidondosha Video yake - Shika adabu .itazame hapo

Baada ya mashabiki wengi kuisubiri, Hatimaye Nay Wamitego ameachilia video ya shika adabu yako.
               ITAZAME HAPO CHINI 
 

Diamond Afungukia Juu ya Video Yake Ya ‘Make Me Sing’ Kufanana na ya Lil Wayne

‘’Watu wanashindwa kuelewa kila kitu ambacho kinafanyika katika muziki sasa hivi kwenye videos kwenye kuimba na kila kitu,mashairi vilishafanyika,vilishaimbwa,kushutiwa kama vinafanyika ni marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye kwa sababu ukisema nakupenda watu washaimba sana,lakini unafanyaje kwa namna yako wewe ili ilete utamu’’.
”Ukiangalia video ile niya mapenzi scrip yake mwanzo inaonyesha watu hawana hela wanaenda kuiba benki,wameenda kutumia na wanawake,bata halafu mwisho wa siku wakakamatwa,lakini pia inaelimisha tusikubali kushikwa na tamaa halafu wanawake watupelekeshe na kufanya vitu visivyofaa’’

Dakika 7 za mpiga picha wa Mwananchi kutaka kunyang’anywa kamera na Waziri wa zamani Wassira…(+AUDIO)

Moja kati ya stori kubwa za leo ni hii ya mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi kwa upande wa Mwanza Michael Jamsoni kutaka kunyang’wanywa kamera na Waziri wa zamani Mheshimiwa Stephen Wassira, ripota wa millardayo.com amempata Michael Jamsoni na sentensi zake.
Yeye alikuwa kwenye haraKati za kunyang’anya kamera na kudelete picha katika harakati za kunirukia na kunikimbiza watu wakatafsiri kama tunapigana au anataka kunipiga lakini naamini kama ningesimama bila kumkwepwa yawezekana tungevaana maungoni;-Michael Jamsoni
Hasa aliniuliza kwanini unapiga picha unapeleka mtandao gani? nikamwambia mimi siko mtandao wowote niko Gazeti la Mwananchi na hapa nipo kazini, basi akaniambia futa picha zangu;-  Unaweza kuipata full stori kwa kuisikiliza hapa chini…

Mvulana wa Afghanistan apewa jezi ya Messi

Mvulana wa Afghan akivalia jezi nzuri aliyotumiwa na Messi
Mvulana wa taifa la Afghanistan ambaye aligonga vichwa vya mitandao ya kijamii alipovaa fulana ya mfuko wa plastiki ilio na jina la Lionel Messi hatimaye amepata jezi nzuri kutoka kwa mshambuliaji huyo wa Argentina.
BBC ilimsaidia Messi kumtafuta mtoto huyo ambaye anajulikana kuwa shabiki mkubwa wa mchezaji huyo wa Argentina.
Murtaza Ahmadi mwenye umri wa miaka 5, anatoka katika wilaya ya Jaghori mashariki mwa mkoa wa Ghazni nchini Afghanistan.
Hii ndio jezi aliyotengeza nyumabni na kuvaa

Timu ya usimamizi wa Messi ilithibitisha siku ya Alhamisi kwamba Murtaza alitumiwa jezi ya mshambuliaji huyo wa Argentina iliotiwa saini pamoja na mpira kutoka kwa mshambuliaji huyo wa Barcelona ambaye ametuzwa kuwa mchezaji bora mara tano.
''Ninampnda Messi na fulana yangu inasema Messi ananipenda,Murtaza alisema,tayari akimuigiza mshambuliaji huyo anavyosheherekea bao lake.
Msako wa mtoto huyo katika mtandao ulisababishwa na picha moja ilioenea katika mitandao ikimuonyesha amevaa fulana ya plastiki ya Messi.
 Madai baadaye yalizuka kwamba mvulana huyo ni wa Kikurdi kutoka Iraq na kwamba nyota huyo wa Barcelona alitaka kumtafuta na kumpa jezi nzuri.

PICHA ZA AJALI ALIYOPATA NAIBU SPIKA JANA .JIONEE HAPA

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali jana jioni.
Taarifa za awali zimeeleza kuwa Dk. Tulia alipata ajali hiyo baada ya gari dogo kugonga gari alilokuwa akisafiria katika eneo la Kiwira jijini Mbeya.


MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KWENDA KWENYE USAHILI WA KAZI SOMA HAPA

Usaili wa kazi ni hatua muhimu kwa kila mwenye ndoto ya kuajiriwa na kupata kazi ya ndoto yake. Lakini ni hatua yenye vikwazo vidogo vinavyogeuka kuwa mlima wa kikwazo pale ambapo msailiwa ataruka hatua hizi nne muhimu katika maandalizi yake.
Kutofahamu mambo haya muhimu kabla ya kuingia kwenye usaili, huwafanya wasailiwa wengi kujikuta wakijuta kuingia kwenye usaili husika au kufikiri kuwa hawana bahati ya kupata kazi wanayoitamani kwa kuwa wamejibu vizuri maswali mengi waliyoulizwa.
Lakini maswali unapaswa kufahamu kuwa mambo haya manne yatakupa asilimia zaidi ya 80 ya ushindi kwenye maswali yoyote utakayoulizwa na wasaili. Hata kama maswali utakayoulizwa unayafahamu vilivyo, lakini kushindwa kuyaunganisha na mambo haya kutakuangusha vibaya na huenda ukambilia kudhani ulinyimwa kazi kwa makusudi.
Fahamu vizuri Kampuni/shirika husika
Hii ni hatua ya kwanza na muhimu sana katika ushindi wa usaili husika. Karibu kila swali utakaloulizwa litakuwa na uhusiano na hili.
Hivyo, unapaswa kufahamu vizuri kazi na huduma au bidhaa zinazotolewa na shirika husika,  dhima na dira na lengo kuu la kampuni/shirika hilo. Unapaswa pia kuhakikisha unafahamu washindani wa kampuni husika hususan kama inafanya biashara yoyote.

Tambua Udhaifu, Uimara, Fursa na Hatari/vitisho ambavyo kampuni husika inakutana navyo. Ni rahisi kufahamu mambo hayo endapo utatumia muda wako kufanya utafiti wenye mantiki kuhusu kampuni husika. Taarifa hizi zote unaweza kuzipata kwa kusoma tovuti ya kampuni husika pamoja na machapisho yao mbalimbali.
Hii itakuongezea hali ya kujiamini kwa kuwa unamfahamu vizuri mwajiri wako.
Fahamu kiundani majukumu yote ya nafasi unayowania
Hapa simaanishi tu kukariri majukumu uliyoandikiwa kwenye tangazo la nafasi ya kazi, bali kufahamu kwa kina kinachotegemewa kutoka kwako.
Muajiri wako anatarajia mtu atakayemuajiri awe anajitambua vizuri na amejiandaa kuyakabiri majukumu yake. Anatarajia kuona nia na uwezo wa mtu anayemhitaji kwenye usaili husika.
Ukiyafahamu vizuri majukumu yako na mipaka yake, utakuwa na uwanja mpana wa kujibu maswali yako kwa kumshawishi muajiri kuwa majumu husika unaweza kuyakabili kwa ufanisi zaidi. Kila swali litakaloelekezwa kwako, lijibu ukiwa na picha ya majukumu yako pamoja na kampuni yako.
Kwanini unahitaji kazi hiyo na kwanini unadhani wewe ndiye mhusika
Mwajiri anahitaji sana mtu anayejielewa kama nilivyosema awali, ‘self determined and focused’. Unapaswa kujiuliza vizuri kwanini unahitaji kazi husika, huku ukilizingatia pia swali kuwa unadhani kwanini wewe ndiye mtu unayefaa zaidi kuliko wote.
Kama hufahamu kwanini unahitaji nafasi hiyo, sio kwa sababu unahitaji pesa, hilo linajulikana na ni vyema usiligusie kabisa. Zungumzia upande wa pili wa ‘Career’ yako hasa na unavyotaka kuleta mabadiliko kwenye kazi husika. Ni muda mzuri wa kujinadi.
Ifahamu vizuri, imeze CV yako
Curriculum Vitae (CV), ni maandishi yanayokueleza wewe ulivyo na uhusiano wako na kazi husika. Isome vizuri CV yako baada ya kuandika mambo muhimu unayopaswa kuyaandika. Tutaelezea siku moja kipi hakipaswi kuwekwa lakini huwekwa na wengi.
Usiiache nukta iliyo kwenye CV yako ikupite bila kuielewa vizuri. Isome tena na tena na uelewe kwanini umeandika yote uliyoandika na namna ya kuyaelezea.
Kumbuka katika usaili, CV yako inaweza kuzaa maswali mengi na ikakuinua au kukuangusha. Kumbuka ku-update CV yako kila unapotaka kazi fulani, usiitupe tu kwa kazi yoyote, mengine yanaweza kuwa yanakuinua kwenye kazi A, lakini  yakawa chanzo cha kukukoseha kazi B.

GESI NYINGINE YAGUNDULIKA TANZANIA.. SOMA HAPA

Tanzania  imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto Ruvu yenye ukubwa wa ujazo wa futi trilioni 2.17.

Ugunduzi huo wa gesi asilia umefanywa na Kampuni ya Dodsal Hydrocarbons and Power Tanzania Limited ambayo imekuwa inafanya shughuli za utafutaji wa gesi na mafuta katika Mkoa wa Pwani.

Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Pilavullathil Surendran alisema jana katika mkutano wa wawekezaji wa gesi na mafuta ulioandaliwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuwa, thamani ya gesi iliyoko katika eneo hilo inafikia Dola za Marekani bilioni sita sawa na Sh trilioni 12.

Ugunduzi huo mpya unafanya hadi sasa Tanzania kuwa na amana ya gesi yenye ukubwa wa futi za ujazo trilioni 57.27.

Kwa upande wake, Profesa Muhongo alithibitisha kugundulika kwa gesi hiyo tangu Julai mwaka jana, lakini akaeleza kuwa Serikali imechelewa kutangaza ugunduzi huo kama inavyoagizwa na Sheria ya Mafuta ya Mwaka 2015 kutokana na shughuli za uchaguzi.

“Sheria mpya inatutaka kabla ya waziri mwenye dhamana ya gesi kutangaza ugunduzi mpya wa gesi na mafuta ni lazima athibitishiwe na mamlaka ya udhibiti wa bidhaa za Petroli na Gesi (PURA). 
“Wizara yangu itawasiliana na mwanasheria mkuu wa serikali ili kupata ushauri wa kisheria kuhusu jambo hilo na bahati nzuri tayari PURA imeshaanza kushughulikia jambo hilo na naamini kuwa nitatangaza ugunduzi huo mpya hivi karibuni,” alifafanua Profesa Muhongo.

Licha ya ugunduzi huo mpya tayari gesi imegundulika katika maeneo ya kisiwa cha Songo Songo mkoani Lindi na eneo la Mnazi Bay huko Mtwara na katika Wilaya ya Mkuranga, Pwani pia kumegundulika kiasi kikubwa cha gesi.

BONDIA MANNY PAQUIAO AJENGA NYUMBA ZAIDI YA ELFU 1 KWA FAMILIA ZISIZO JIWEZA

Bondi wa Kifilipino wa Uzito wa juu Duniani, Manny Paquiao, amemaliza awamu ya kwanza ya ujenzi wa nyumba za kisasa kwa watu wasiojiweza katika eneo alilokulia liitwalo Sarangani.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Paquiao ameandika kuwa tayari amefanikiwa kumaliza nyumba kwa ajili ya maelfu ya familia katika mpango huo kwa awamu ya kwanza.
“I’m so happy giving this houses free to my constituents in Sarangani Province from my own pocket more than thousand families are the beneficiaries. and i’m still building more because i always believe what the bible says; 1 Peter 4:8-10 NIV
[8] Above all, love each other deeply, because love covers over a multitude of sins. [9] Offer hospitality to one another without grumbling. [10] Each of you should use whatever gift you have received to serve others, as faithful stewards of God’s grace in its various forms. Thank you Lord for everything even some people are criticizing me but I’m still happy because you live in me.” Ameandika.

Wiki iliyopita kampuni ya mavazi ya kimichezo ya Nike, ilisitisha mkataba wa udhamini na bondia huyu baada ya kuwafananisha wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanyama.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 23 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo


































Disqus Shortname

Comments system