Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>>
#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza
,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona
hapo juu ndio ya hacker aliekua anapost na kutukana watu ,tunaenda
kureport na kama kuna mtu anaweza kutusaidia kuitrack hii email
tunamuomba msaada wake…..asante
sana @Kingkapita@kapitatechnologylimited kwa kunisaidia kurudisha
account yangu #Mungu akubariki #polesana kwa niliowakwaza‘
Share this