Leo March 21 Tume ya Uchaguzu Zanzibar imetangaza matokeo ya uchaguzi
ambapo imemtangaza mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein kuwa Rais Mteule
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuibuka na ushindi wa asilimia
91.4%.
Nimekuwekea Picha 15 za Matukio mbalimbali wakati wa utangazaji wa matokeo.