March 13 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC
Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha
Genk kwa mara ya kwanza na hili ndio goli lake la kwanza akicheza first
eleven na la pili toka ajiunge na klabu hiyo.