Kuna watu wanaweza kuigiza sauti ya mtu
alafu ukiwasikiliza unacheka na kubaki mdomo wazi… huyu jamaa ni
miongoni mwa hao Mamaster, mtazame anaitwa Shaphii Omary kwenye hii video hapo chini
KUTANA NA HUYU MCHEKESHAJI MWENGINE ALIYEIIGILIZIA SAUTI YA RAIS MAGUFULI…. JINA LAKE NI MLUGALUGA, MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI.