Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Bongo fleva,Diamond Platnumz, Baada ya kumaliza tour za hapa nchini kuusambaza wimbo wa Kwetu aliouimba msanii mpya katika label ya Wasafi ameamua kuichukua familia yake akiwemo Mama yake mzazi, Zari na Tiffah ambaye ni mtoto wake pamoja na member wengine wa Wasafi akufanya tour ulimwenguni waliyo iita #FromTandaleToTheWorldTour.