Jumamosi ya March 5 2016 Waigizaji wawili wa Tanzania walishinda tuzo kwenye tukio la Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016 huko Lagos Nigeria ambao ni Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’
VIDEO:Watanzania Richie na Lulu walivyoshinda tuzo Nigeria