Diamond kakutana na Kanye West Marekani Unknown 03:58:00 Unknown Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya show, ambapo kwenye maelezo ya hii picha, ilionekana wakati huo alikuwa Los Angeles. Diamond anakuwa mtanzania mwingine, aliyepiga picha na Kanye West, ambapo Vanessa Mdee amewahi kukutana na Kanye West na kuongea nae. Hapa ni Vanessa Mdee kulia alipokutana na Kanye West Author : Unknown Share this Related Posts