March 8 2016 ilikuwa ni zamu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’
nyumbani na tuzo yake ya filamu bora ya Afrika Mashariki, kamera ya AYO
TV ilibahatika kuyakamata matukio yote makubwa yaliyohappen katika ujio
huo kuanzia uwanja wa ndege hadi katika viwanja vya Escape one Dar es
salaam, pia watanzania walivyojitokeza kuipokea tuzo hiyo ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016.
Hii hapa full video….
Hii hapa full video….