WCB Wasafi wameachia behind the Scene ya video ya wimbo Bado wa
Harmonize aliyomshirikisha Diamond. Katika video hiyo moja ya tukio
kubwa ni lile ambao linaonyesha jinsi uongozi wa Harmonize ulivyokaliwa
kooni baada ya Harmonize kuanguka na pikipiki na kuiharibu.