Picha: Mapokezi ya Lulu Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam Unknown 06:37:00 Unknown Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) akitokea Nigeria. Author : Unknown Share this Related Posts